CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapitia mabadiliko makubwa ya kimfumo na watu chini ya Dk. John Magufuli, mwenyekiti mpya wa chama hicho, anaandika Charles William. Dk. Magufuli ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo tarehe 23 Julai mwaka huu akichukua mikoba iliyoachwa na Dk. Jakaya Kikwete, aliahidi kufanya mabadiliko makubwa katika chama hicho ikiwemo kufuta vyeo visivyo na mashiko ......
Published By: MwanaHALISI Online - Today
ConversionConversion EmoticonEmoticon