Ni rahisi sana kuwa mwanachama wa helping hands international!!!!
Lakini kablasijaendelea na namna ya kujisajili na kuwa mwanachama,
hebutuangalie faida ambazo mwanachama/member/partner wa helping hands
international anazipata anapokuwa na helping hands international
Mkopousio na ribakwaajiri ya kuanzisha biashara yako
Gari mpya aina ya Hyundai
HP Laptop
Apple iPad
Safari za nje za bure (all expenses paid int’l trips)
Nafasi za masomo kwa watoto wako wawili
Nyumba nzuri ya thamani ($40,000)
Mafunzo ya ujasiriamali buree
Kuwezeshwa kibiashara (biashara yeyote unayotaka kufanya)
Kipato kinachozidi kuongezeka hadi $12000 na Zaidi.
Pia zifuatazo ni HUDUMA/SERVICES ambazo helping hands
international inawapatia watu wanaostahili kusaidiwa katika jamii zinazotuzunguka:
Misaada ya chakula, elimu, mavazi n.k kwa watu wamakundi tofauti
kama vile:
Wajane,Walemavu,Yatima,Wagonjwa mahospitalini,Watoto wamitaani
n.k
Sasatuendelee na namna gani unawezajisajiri na h2i ili
nawewe uwemiongoni mwa wanachama wa h2i
ili uwezekunufaika na faida nilizozitaja hapo juu ikiwemo kujikwamua kiuchumi
huku ukiwezakuwasaidia watu wanaokuzunguka katika jamii yako.
JINSI YA KUJISAJIRI: kwanza kabisa unatakiwa uwe na pesa ya
usajiri ambayo nikiasi kidogo tu cha $40 ambayo ni sawa na Tshs 90,000/=, kasha
utampatia mtu ambayeyeye tayari nimwanachamawa helping hands international ili
awezekukusajiri kupitia yeye.
NAMNA AMBAVYO ANAKUSAJIRI: mwanachama wa h2i atakusajiri
wewe kama mwanachama mpya kupitia mtanadaoni yaani online kwa kutumia profile
yake ya uanachama ambayo inamilikiwa na website/ tovuti ya helping hands
international (h2i). Ambapo Utasajiriwa na kufunguliwa account yako ya h2i
ambayo itakuwa ikionyesha maendeleo yako na taarifa zako wewe kama mwanachama wa h2i. tarifa hizo ni
kama vile:
Kiwango cha pesa ulichoingiza kwenye account yako ya h2i
(ewallet)
Idadi ya watu uliowasajiri chini yako
Hatua/stage ambayo wewe umefikia kama mwanachama
Pia utaweza kupokea taarifa zinazohusu maendeleo yako
kupitia hiyo account yako n.k
Baada ya kusajiriwa utaweza kuingia mwenyewe kwenye website/
tovuti ya helping hands international ambapo utaweza kulogin kwa kuingiza neno
lako la siri kama unavyo fanya ukiingia facebook, kisha utaweza kuedit au
kubadilisha baadhi ya taarifa zako mwenyewe ikiwemo neno la siri au password.
Baada ya hapo utakua
tayari nimwanachama wa h2i ambapo na wewe utaweza kusajiri wanachama wapya
chini yako na kujiongezea kipato chako. Hii ninjianzuri sana na rahisi kwako
wewe kijana mwenye malengo ya kujikwamua kiuchumi na hata kutimiza ndoto zako
kwa kujiongezea mianya mingi ya kipato bila kuathiri ajira yako au muda wako,
kwani baada ya kuwa mwanachama unachotakiwakufanya ni kuwashirikisha watu
wengine wawili tu, kisha na hao wawili nao uwahimize kufanya hivyo hivyo. Ni
rahisi mno.
Labda nikuonyeshe kwa
ufupi kiwango cha pesa ambacho utakuwa ukitengeneza kwa kila hatua utakayopitia
kama mwanachama
Stage 1 (associate), utalipwa $58
Stage 2 (masters), utalipwa jumla ya $1000, ambapo utaanza kupokea
kwanzia $100 hadi $400 ($100, $200, $300, $400)
Pia utaweza kunufaika na vitu vifuatavyo:
Hp laptop
Laini ya internet ya bure ambayo hutaweka vocha. (Glo CUG
LINE), ambayo utachagua mtandao unaotaka
Stage 3, (super master), utalipwa $3000
Pia utaweza kunufaika na faida zifuatazo:
Gari mpyaa (Hyundai) yenye thamani ya $10,000
Nafasi za masomo kwa watu wawili wafamilia yako au mtu yeyote
utakaemchagua ambapo kila mmoja atagharamiwa kwa kiasi cha $1000, hivyo basi utapewa
$2000 kwaajili yao,
Mafunzo ya ujasiriamali kwa ajiri ya kuanzisha biashara yako
Stage 4 (minister), utalipwa $6000
Pia utaweza kunufaika na faida zifuatazo:
Gari mpyaa (Hyundai jeep)
yenye thamani Zaidi ya $27,000
Mkopo usio na riba wenye thamani ya $12000
Nafasi ya masomo kwa watoto wako wawili(2) kuanzia shule ya
awali hadi chuo kikuu.
Utapewa nafasi ya kuanzisha biashara yako au mradi wowote ambao
wewe unaweza kuufanya ambapo h2i watagharamia kwa asilimia mia (100%) ya
gharama zote zinazohitajika kwaajiri ya kuanzisha biashara / mradiwako.
Stage 5 (prime minister), utalipwa $ 12000
PIA utapata fursa ya kujengewa nyumba yenye thamani ya
$40,000, hapa utachagua mwenyewe kama ujengewe nyumba yenye thamani hiyo au
upewe pesa taslimu.
Pia utapata kuhudhuria vikao au mikutano inavyofanyika nje
ya nchi bure kwa kugharamiwa gharama zote za usafiri, chakula na malazi na helping hands international
Pia baada ya hatua zote hizo tano (5), utapa tafursa ya kuwa
miongoni mwa madairecta wakampuni la h2i au (board of trustee). Utaweza kunufaika
na faida zifuatazo
Bonasi ya $80,000, hii utalipwa mara moja
Utalipwa $10,000 kwa mwaka, kama faida/pato ambalo kampuni imeingiza
Utahudhuria vikao au mikutano muhimu ya kampuni huku ukigharamiwa
kila kitu.
Kila mwaka utateua yatima wawili ambao watapewa nafasi ya
kupata elimu huku wakigharamiwa kila kitu na helping hands international.
Mtanzania mwenzangu UNASUBIRI NINI????? Jiunge sasa na
helping hands international kwa kiwango kidogo tu cha pes aambacho ni $40 ambayo
ni sawa na 90,000/= za kitanzania, ambapo wewe utaweza kuwasaidia watu wengine
huku nawewe ukibadirisha maisha yako kwa kuongeza kipato chako na kukuza uchumi
wako.
Nipigie/ WhatsApp kwa namba hizi 0715133965 au 0769095064
TIMIZA NDOTO ZAKO NA HELPING HANDS INTERNATIONAL
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
2 comments
Click here for commentsAdd me to your WhatsApp group of H2I add my no is 0758728747
ReplyJamani huu utapeli umefanyika Dodoma hotel ya fifty six na vijana na kina mama waliokuwa viongoz wamepokea pesa halafu ghafla wakasitisha no zaid ya mwaka marekebisho hayafanyiki tu...na pesa walipokea risit hakuna.....
ReplyConversionConversion EmoticonEmoticon