Propellerads

Chuo cha sukari matatani



Image result for picha za chuo cha sukari
Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Sukari Tanzania (NSI) kilichopo Morogoro, umelalamikiwa kwa kukiendesha chuo kama taasisi binafsi. JAMHURI imepata taarifa kuwa chuo hicho hadi sasa kimeendeshwa kwa kipindi cha miaka tisa bila kuwa na Baraza la Uongozi. NSI inaongozwa na Kaimu Mkuu wa Chuo, Julius Raphael Deteba, na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Salumu Mwanalelo, ambao wamekuwa ndiyo wenye mamlaka ya uongozi na utendaji wa chuo hicho tangu mwaka 2007 mpaka sasa. “Wanakiongoza chuo namna wanavyotaka bila hata ya kufuata taratibu za kisheria, huku wakiendelea kulea uozo ndani ya taasisi...

Published By: Jamhuri Media - Today
Previous
Next Post »