Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia jana mjini Monaco, Ufaransa amekabidhiwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya. Christiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo Wachezaji ambao alikuwa akishindana nao kwa karibu zaidi katika kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa timu ya barcelona Leonel Messi, mchezaji wa Athletico Madrid Anthony Greizmann,
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon