Propellerads

Serikali yacharuka suala la maiti saba Mto Ruvu



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea kwa huzuni taarifa za kupatikana kwa maiti za watu saba kwenye Mto Ruvu wilayani Bagamoyo na kuahidi kufanya uchunguzi usiku na mchana kuwabaini wahusika....
Published By: Mwananchi - Yesterday
Previous
Next Post »