Propellerads

MADEE AFUNGUKA KUHUSU DOGO JANJARO


Image result for picha za madee na dogo janja

Mmoja kati ya viongozi wa juu wa Tip Top Connection, Madee amedai rapa Dogo Janja bado hajakuwa kwa kuweza kujisimamia katika muziki wake.
Madee amesema rapa huyo hawezi kuondoka Tip Top Connection bila ruhusa ya uongozi wake kwa kuwa tayari alisharubuniwa na akaona madhara yake.
Hii imetokea baada ya msanii Nikki wa Pili alisikika akimmwagia sifa kibao Abdul Kachaa yaani Dogo Janja na kudai kuwa ndiye msanii wake bora wa mwaka.
Yalisikika mengi kwa upande wa Weusi pamoja na Dogo Janja ikiwemo issue ya kufanya kazi pamoja na vingine vingi….


Lakini hivi kwani Madee anamchukulije DOGO??
Image result for picha za madee na dogo janja

Aliongeza, “Mimi bado namuona Dogo Janja bado ni mtoto, hawezi kurubuniwa ndio maana mwanzo alivyorubuniwa na wale ambao walimrubuni walifanikiwa lakini mwisho wa siku Dogo Janja aliona madhara yake”. So sidhani kama atakuwa na akili za kijinga jinga kama mwanzo za kukurupuka,”


Dogo Janja kwa sasa anafanya vizuri na wimbo Kidebe.
Previous
Next Post »