Propellerads

KEYSHA KUJIFUNGUA MTOTO WA TATU


Image result for picha za keisha akiwa na mimba
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Keisha, amepata mtoto wa tatu aliyejifungua siku sita zilizopita. Lakini, Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo amehitimu pia chuo kikuu hivi karibuni,

Keisha ameshare furaha hiyo kupitia Instagram: Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah you are GREAT.”

Keisha amehitimu shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management) katika chuo cha CBE.
Previous
Next Post »