Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Maimuna Tarishi. Na PATRICIA KIMELEMETA – dar es salaam SERIKALI imetangaza ajira kwa walimu wa masomo ya sayansi na hisabati waliomaliza kozi ya shahada na stashahada na kuhitimu mwaka 2015. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Maimuna Tarishi, wahitimu hao wanatakiwa kuwasilisha nakala za vyeti vyao kwa elimu ya sekondari kidato cha nne na sita na taaluma ya ualimu wa shahada na stashahada kwa uhakiki. Alisema waombaji wanatakiwa...
Published By: Mtanzania - Yesterday
ConversionConversion EmoticonEmoticon