Rapper Chemical amefunguka kuhusu idea ya wimbo wake mpya wa ‘Mary Mary’, kuachia nyimbo tatu kwa kipindi kifupi, pamoja na kuandikiwa nyimbo zake.
Kuhusu idea ya ‘Mary Mary’
Kuhusu kuachia nyimbo tatu mfululizo
kuhusu kuandikiwa/kuandika nyimbo
“Mary Mary” ndio project rasmi imefuata baada ya “Am Sorry Mama”, “Kama Ipo Ipo Tu” nimeitoa kwa sababu tulipanga mfumo, sisi kama Kazi Kwanza tutatoa videos za audio ambazo tushazitoa lakini hazikupata nafasi ya kufanyiwa video. Ni ngoma tatu zina mahadhi tofauti, ukiangalia “Am Sorry Mama”, “Mary Mary” na ukiangalia na “Kama Ipo Ipo Tu” ni ngoma tatu kwangu mimi naona zipo tofauti sioni kama kuna kitu kinaweza kuifanya hii kuishusha nyingine. Lakini kitu kingine mimi nahisi kama bado sijakuwa msanii yule wa kusema kwamba nikitoa nyimbo baada ya miezi sita ndio nitoe nyingine nahisi kama nakuwa kwa hiyo watu bado waendelee kumsikiliza Chemical mpaka ambao labda bado hawajaamini waamini ‘Yaah! I can do it’, ndio maana muda mwingine nakuwa najitahidi nisikae muda mrefu sana sijaachia nyimbo.
Rapper Chemical katika ubora wake |
ConversionConversion EmoticonEmoticon