Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Fanja FC, Mrisho Ngassa enzi akiwa Yanga.
Wilbert Molandi,Dar es Salaam
KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Fanja FC, Mrisho Ngassa, rasmi amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Mbeya City kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Ngassa aliyewahi kuichezea Simba, Yanga na Azam FC kwenye misimu tofauti, juzi usiku alikamilisha idadi ya wachezaji wapya kumi waliosajiliwa na timu hiyo katika usajili wa dirisha dogo.

ConversionConversion EmoticonEmoticon