Ndege hiyo iliyokua ikitokea katika jiji la Santa Cruz kusini mwa Brazil ilipata ajali kutokana na hitilafu ya umeme ndani ya ndege iliyotokana na kupungukiwa na mafuta ambapo rubani wa ndege hiyo alitoa taarifa muda mfupi kabla ya ndege hiyo kuanguka katika eneo la Medellin Colombia,
Kikosi cha Brazil kilichopata ajali hiyo
Ndege hiyo ilibeba abiria sabini na saba (77) na 71 kufariki baada ya ajali huku watu saba (7) pekee wakifanikiwa kutoka hai katika ajali hiyo, Baadhi ya waliopona ni pamoja na beki Alan Ruschel ambaye madactari wamesema anasumbuliwa na majeraha ya mgongo, Walinda lango Marcos Danilo na Jackson Follmann, lakini bahati haikua kwa mlinda lango nambari moja wa kikosi hicho Marcos Danilo ambapo alifariki dunia muda mfupi baadae.
Picha ya ndege kabla haijapata ajali, mali ya Colombia iliyosajiliwa kwa namba CP2933
ConversionConversion EmoticonEmoticon