Leo December 30, 2016 Mbunge Zitto Kabwe kutoka Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) kupitia akaunti yake facebook ametoa taarifa kuhusu madeni anayodaiwa, kiwango cha mshahara wake wa mwaka, kiasi cha pesa kilichopo benki, posho pamoja na mali zote anazomiliki. Hiki kimeandikwa na Zitto Kabwe leo. Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria […] The post Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo appeared first on millardayo.com....
Published By: Millard Ayo - 3 days ago
ConversionConversion EmoticonEmoticon