VYAMA vya siasa nchini kwa mara ya kwanza tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, vitaruhusiwa kufanya kampeni za majukwaani, anaandika Hamisi Mguta. Vitatumia siku 30 kunyukana kwenye uchaguzi mdogo wa marudio utakaofanyika Tanzania Bara na visiwani na kisha kurudi kifungoni. Hatua hiyo inafuatiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwaandikia barua ya kuviarifu vyama hivyo ...
Source: MwanaHALISI
ConversionConversion EmoticonEmoticon