Propellerads

CUF: Tutaamua na UKAWA



CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba katika kushiriki uchaguzi mdogo wa udiwani Bara na ubunge Dimani Zanzibar kitasimamisha wagombea kutegemea na maamuzi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), anaandika Jabir Idrissa. “… Kwa sababu hizo, CUF inaendelea na mazungumzo na vyama vingine vinavyounda UKAWA kuona namna bora ya kushiriki chaguzi hizi na kuhakikisha kuwa ......

Published By: MwanaHALISI Online - Today
Previous
Next Post »