CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho kimekuwa kikilaumiwa kwa kukaa kimya tangu kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa Bernard Saanane ambaye ni mtumishi makao makuu chama hicho kimeitisha mkutano na waandishi wa habari siku ya kesho, anaandika Charles William. Chadema imekuwa ikipatwa na kigugumizi katika kutoa kauli ya kueleweka juu ya kutoweka kwa Ben ......
Published By: MwanaHALISI Online - Today
ConversionConversion EmoticonEmoticon